Mkutano Mkuu wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha (NCCR- Mageuzi) kimefanya uchaguzi na kuwapata viongozi wa ngazi ya juu wa chama hicho watakachokiongoza kwa miaka mitano akiwamo James Mbatia aliyechaguliwa tena kuendelea kuwa mwenyekiti.