Mara baada ya kumalizika kwa kikao cha watia nia wa Ubunge ndani ya NCCR-Mageuzi kuelekea uchaguzi mkuu 2020, shughuli za ujenzi wa chama pamoja na kukagua uhai wa chama zinaendelea nchi nzima.

Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma Ndugu Edward Julius Simbeye ameongoza shughuli hizo kwa mikoa iliyopo kanda ya ziwa.

Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma ndugu Edward Julius Simbeye akiwa sambamba na viongozi wa chama cha NCCR-Mageuzi jimbo la Kahama.

Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma ndugu Edward Julius Simbeye akiwa sambamba na viongozi wa chama cha NCCR-Mageuzi jimbo la Kahama.