Yaliyojiri Articles

M/Kiti James Mbatia na hoja nzito mbele ya wanahabari.

Siku moja imepita sasa tangu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, Ndg.  James Mbatia alipokuwa akihojiwa na chombo cha habari cha Mwananchi Communication, kwenye mahojiano ambayo yalikuwa Mubashara kupitia Mtandao (Online Television)

Pin It on Pinterest