Matukio ya Chama Articles

Jimbo la Solwa na vugu vugu la mabadiliko

Katika kuendelea kusimamia na kutekeleza Itikadi ya UTU, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo Ndg. James Francis Mbatia ametembelea Jimbo la Solwa Mkoani Shinyanga  kukagua Uhai wa chama na kutatua mapungufu yanayokwamisha chama kusonga mbele.

Pin It on Pinterest