Habari Maalumu Articles

 Kwaheri ACT-Wazalendo, hodi NCCR-Mageuzi

Ndugu waandishi wa habari, kama mnavyofahamu nimekuwa nikikitumikia chama cha ACT Wazalendo kwa takribani miaka 5 sasa, nimekuwa nikihudumu kamati mbali mbali za chama mpaka ilipofikia mwezi machi baada ya uchaguzi wa Ngome ambao niligombea kama Mwenyekiti ila sikushinda kutokana na sababu mbali mbali ambazo sitaweza kuzieleza hapa.
Naomba nichukue nafasi hii pia kuishukuru ACT Wazalendo kwa hapa iliponifikisha ila sina budi kusema inatosha kuwa mwanachama wake.

 NCCR-Maguzi yawanoa watia nia wake wa Ubunge 2020

 NCCR-Maguzi yawanoa watia nia wake wa Ubunge 2020

“Viongozi uandaliwa, viongozi hawaokotwi kwenye majalala” hii ni kauli ambayo imekuwa ikisisikika mara kwa mara kutoka kwa mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, ndugu James Francis Mbatia (Mb). Dhana kuu ya kauli hii inaakisi mienendo na tabia za viongozi wengi tulio nao sasa ambao mara nyingi wamekuwa wakionesha hali ya sintofahamu katika nafasi zao za majukumu.

read more
Vuguvugu la Mageuzi Arusha

Vuguvugu la Mageuzi Arusha

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo Ndugu JAMES FRANCIS MBATIA amezitaka mamlaka zinazosimamia uchaguzi kuwatendea haki Watanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba ili kupata viongozi wanaostahili kwa maslahi mapana ya mama Tanzania.

read more
Je, mmekosa mbinu za kuingia Ikulu?!

Je, mmekosa mbinu za kuingia Ikulu?!

Miaka ya 1995-2000 NCCR- Mageuzi ilikuwa chama Kikuu cha upinzani nchini kwa wingi wa kura za Rais na Wabunge, japo haikufanikiwa kuunda kambi ya Upinzani Bungeni (KUB) kwa sababu CUF ilikuwa na idadi zaidi ya viti Bungeni kutokea Zanzibar……

read more
Sisi tunahukumiwa kwa lipi?-Ndugu James Mbatia

Sisi tunahukumiwa kwa lipi?-Ndugu James Mbatia

“Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu” Methali hii inajidhihirisha, kumezuka shutuma kubwa dhidi yetu ya kile wanachokiita usaliti. Mara baada ya kupokea viongozi wa vyama na wanachama mbalimbali kutoka katika vyama vyao na kujiunga na chama chetu cha NCCR-Mageuzi.

read more

Pin It on Pinterest