REHEMA SAM KAHANGWA

Naibu katibu Mkuu Tanzania bara.

Ni mwanamama jasiri anayetetea ustawi wa jamii endelevu ya watanzania.

Wasifu

2014

Aliomba ridhaa ya kuwa Naibu Katibu Mkuu bara kura hazikutosha.

2019

Alichaguliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu bara.

UMRI

18/01/1981

Pin It on Pinterest