MIKE AYOUB KARAVA

Mweka hazina wa chama cha NCCR Mageuzi

Ana shahada ya kwanza ya sheria katika chuo kikuu cha Tumaini anafanya kazi kwa kushirikiana na mkuu wa Idara ya fedha na Muhasibu wa chama.

Mwanasheria wa kujitegemea.
Anakampuni ya Utalii itwayo Karava Dros limited Mkoani Arusha

Wasifu

2015

Alikuwa Kampeni Meneja wa Mgombea Ubunge Ndugu Youngsaver Msuya Jimbo la Mwanga

ELIMU

Shahada ya kwanza ya sheria katika chuo kikuu cha Tumaini Iringa

UMRI

4/03/1982

Pin It on Pinterest