JAMES FRANCIS MBATIA

Mwenyekiti Taifa NCCR Mageuzi.

Ndugu Mbatia ni mmoja kati ya waasisi wa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania. Mzoefu katika siasa za Mageuzi, hajawahi teteleka tangu mwaka 1992 mpaka sasa ni jasiri na anaamini katika Itikadi ya UTU wa binadamu.

Ana Shahada ya Kimataifa Katika Uhandisi Ujenzi Chuo cha Hanze Nchini Uholanzi

Wasifu

1994

Alikuwa kiongozi wa Vijana wa kwanza kipindi cha mfumo wa vyama vingi vya siasa ndani ya chama

1995

Alikuwa mkuu wa Idara ya Oganaizesheni,Kampeni na Uchaguzi.
Alikisaidia Chama kupata wawakilishi 19 katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Upinzani.

1995

Ni Mbunge kijana aliyeongoza kwa kupata kura nyingi.

2000

Alichaguliwa kushika Nafasi ya Uwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi  Taifa.

2010

Aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2015-2020

Mbunge wa Jimbo la Vunjo.

ELIMU

Shahada ya Kimataifa Katika Uhandisi Ujenzi Chuo cha Hanze Nchini Uholanzi

UMRI

10/06/1964

Pin It on Pinterest