HAJI AMBAR KHAMIS

Makamu Mwenyekiti Tanzania Zanzibar.

Mwanasiasa mzoefu katika siasa za Mageuzi Mnamo mwaka 1994 amekuwa mdhamini mkuu wa chama kwa kipindi kirefu

Amewahi kuwa Mjumbe wa bunge la katiba ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2013-2014.

Wasifu

1994

Alijiunga na chama.

1994-1997

Alikuwa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa.

1999

Alikuwa Mjumbe wa baraza la wadhamini wa chama.

2000-2002

Alikuwa Kaimu Mwenyekiti wa chama Taifa.

2008

Alikuwa Mdhamini wa chama.

2013-2014

Amewahi kuwa Mjumbe wa bunge la katiba ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 

2019

Aligombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya NCCR- Mageuzi Kura hazikutosha.

2020

Atagombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya NCCR Mageuzi.

UMRI

18/05/1966

Pin It on Pinterest