ELIZABETH MHAGAMA

Katibu mkuu wa chama cha NCCR Mageuzi.

Ni Wakili wa kujitegemea, Mtaalam wa sheria za ajira pia ni mama Mpambanaji anayetetea usawa wa kijinsia katika jamii ya watanzania

Ana shahada ya sheria chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Wasifu

2005

Alikuwa Mwanachama na Mjumbe kitengo cha Vijana.

2011

Alikuwa Msaidizi wa Mkuu wa Idara ya Katiba na sheria ya chama.

2013-2014

Alikuwa msaidizi wa Mkuu wa Idara ya katiba, sheria na haki za binadamu.

2014

Mjumbe wa halmashauri kuu kutoka kitengo cha vijana.

2015

Aliwahi kuwa Mjumbe katika timu ya ushauri katika Umoja wa Katiba ya wananchi Ukawa.

2016

Alichaguliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu

2018 - 2019 Julai

Alichaguliwa kuwa Kaimu Katibu Mkuu

2019

Alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa chama.

ELIMU

Shahada ya sheria Chuo kikuu cha Dar es Salaam

UMRI

22/04/1981

Pin It on Pinterest