ANGELINA JOHN MUTAHIWA

Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi Tanzania bara.

Ni mama jasiri anauzoefu katika siasa za Mageuzi tangu mwaka 1995 ni mwanasiasa Mtanzania wa chama cha NCCR Mageuzi.

Ana Diploma ya Jinsia katika Chuo cha Mwalimu Nyerere Kivukoni Jijini Dar es Salaam pamoja na Cheti cha Ualimu Chuo cha Ualimu Tabora.

Wasifu

1995

Alikuwa Mjumbe katika Idara ya Oganaizesheni Kampeni na Uchaguzi.

2012

Alikuwa Katibu Muenezi Kitengo cha Akinamama Taifa.

2014

Alikuwa Mwenyekiti wa Jimbo la Segerea

2015

Aligombea Jimbo la Nkenge kura hazikutosha

2018-2019

Alikuwa Kaimu katibu kitengo cha Akinamama Taifa

2019

Alichaguliwa kuwa Makamu mwenyekiti Tanzania Bara

ELIMU

Diploma ya Jinsia Chuo cha Mwalimu Kivukoni.
Cheti cha Ualimu Chuo cha Ualimu Tabora.

UMRI

06/10/1956

Pin It on Pinterest