Utu ni Ngao Yetu

Utu ni Ngao Yetu

Dhima/ Madhumuni

Kuleta mageuzi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na nchini na katika kanda (ndani ya Afrika) kwa lengo la kukuza ustawi wa watu wote.

Dira/ Madhumuni

Kuwa na chama chenye nguvu kinachofuata itikadi ya UTU, kinachoongoza taifa na kanda (ndani ya Afrika) kwa mawazao tokevu ya kimaendeleo ili kurejesha na kuendeleza ustawi wa jamii, haki, na mafanikio ya mwanadamu.

Kauli Mbiu

Utu, Ambayo Misingi Yake Ni Udugu, Maadili, Usawa, Haki, Imani, Mabadiliko, Uhuru, Wajibu, Asili, Kazi Na Endelezo.

Habari za Muhimu

James Mbatia: Tutekeleze tunayoelekezwa na wataalamu

James Mbatia: Tutekeleze tunayoelekezwa na wataalamu

Kufuatia kuwepo kwa visa kadhaa vya wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19) nchini, jamii imeshauriwa kuwa makini hasa katika kusikiliza yale yanayoelekezwa na wataalamu kuhusiana na ugonjwa huo. Tayari visa kadhaa vya wagonjwa wa...

read more
NCCR Mageuzi na Itikadi ya Utu.

NCCR Mageuzi na Itikadi ya Utu.

Tangu kuasisiwa kwa vya vingi vya siasa mnamo mwaka 1992 chama cha NCCR -Mageuzi kimeendelea kusimamia itikadi ya utu ambayo lengo lake ni ujenzi wa jamii yenye uhuru,uzalendo,uadilifu,umoja,uwazi,uwajibikaji,haki za binadamu,usawa na ustawi wa jamii ya watanzania wote.

read more

Pin It on Pinterest