Kujiunga na Chama

Anayeomba uanachama anatakiwa kutimiza masharti yafuatayo:-

9

Awe ni raia wa Tanzania

9

Awe na umri usiopungua miaka kumi na nane

9

Awe na akili timamu

9

Awe anakubali itikadi, misingi ya kisiasa, madhumuni, sera, kanuni na taratibu za Chama

9

Akikubaliwa anunue kadi, alipie ada za Chama na kuorodheshwa katika daftari la orodha ya wanachama.

Pin It on Pinterest