Matukio ya Chama Articles

Uhakiki wa utekelezaji wa Masharti ya usajili wa vyama vingi.

Katika kutimiza sheria ya vyama vingi nchini Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania{ORPP}imetembelea ofisi ya chama cha NCCR MAGEUZI makao makuu.

Pin It on Pinterest